Kuna mchanganyiko wa hisia kati ya kusherehekea mafanikio hayo, na kujiuliza namna yaku chukua hatua zitakazo fuata.
Ili wahi kuwa nadra… kwa sasa ni kawaida…. Ila hai fai puuzwa. Socceroos wame fuzu kucheza katika Kombe la Dunia kwa mara ya sita mfululizo.
Ushindi wa magoli mawili kwa moja wa Australia dhidi ya Saudi Arabia mjini Jeddah katika mechi ya mwisho ya makundi, ili ipa Australia dhamana ya nafasi ya pili katika kundi C. Hiyo ina maana Australia imejikatia tiketi yakushiriki katika kombe la dunia mwakani bila kuhitaji kucheza mechi za ziada kwa ajili yaku fuzu.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.