Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden"

Bw Styves Derrick, Mkurugenzi Mtendaji na mtangazaji wa micheo katika redio ya Africa For Hope, Sweden, alipo tembelea SBS Swahili.

Makampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.


Bw Styve Derrick ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la habari la Africa For Hope nchini Sweden.

Alitembelea studio za SBS Swahili, ambako alitupa historia ya shirika lake la habari pamoja na changamoto yake kubwa yakupata wafanyakazi wanao stahiki nchini Sweden.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service