Wakati bado kuna changamoto, mageuzi chanya yana fanyika. Wanafunzi wengi wa Asili wana maliza shule, vyuo vina kumbatia maarifa ya Mataifa ya Kwanza, na miradi inayo ongozwa na jamii, ina fanya mabadiliko halisi.
Katika makala haya, tuta sikia maoni kutoka kwa wataalam jamii yawatu wa asili ambao ni wataalam katika elimu, na wanafunzi kuhusu kinacho fanya kazi, kwa nini maswala yakitamaduni ya elimu na jinsi maarifa yaki Asili na Magharibi huja zinaweza kuja pamoja kuwafaidi wanafunzi wote.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.
Una swali lolote au wazo la mada? Tutumie barua pepe kwa: australiaexplained@sbs.com.au