Siku tisa mfululuzo bila kesi yoyote ya COVID-19 jimbo la New South Wales
Polisi Australia Magharibi wajidhatiti kwa shambulio za ghasia toka kwa magenge ya waasi
Mvua kubwa zaendelea kuathiri mafuriko Queensland na kaskazini mashariki mwa New South Wales
Changamoto za soko la ajira linalobadilika kila wakati zimesababisha serikali ya shirikisho kuzingatia motisha ya ushuru kwa Waaustralia kubadili kazi.
Karatasi ya majadiliano [[iliyochapishwa Ijumaa]] inataka maoni ya washika dau ikiwa punguzo la ushuru kwa gharama za elimu na mafunzo zisizohusiana na kazi ya mtu ya sasa zinaweza kusaidia ajira yao ya baadaye.