Katika Taarifa za Kitaifa tunafahamishwa kuwa,
Vifo vya Uviko – 19 vyaongezeka Victoria
Wakazi wa Canbera kuendelea kufungiwa ndani
Kimataifa
Tanzania yapata Waziri wa Ulinzi mpya Mwanamke
Taliban yaua raia ngome ya upinzani
Michezo
Jahazi la Wanachi lazama
Majogoo wa Uingereza waendelea kuwika.