Taarifa ya habari 15 Disemba 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Wakazi katika jimbo la New South Wales kitongoji cha Murwillumbah wameamriwa kuhama baada ya Mto Tweed kupasuka kingo zake.


Uingereza na Marekani zimeanza kusambaza chanjo ya Pfizer dhidi ya virusi vya corona,
Hofu ya Corona yaibuka tena Victoria, mahitaji makubwa yaongezeka kwa magari ya wagonjwa na
Miradi ya utafiti wa afya na matibabu itapata nyongeza ya $mil 300.
Utafiti unaonyesha kuwa mwanamke mmoja kati ya watano wanaofanya kazi katika teknolojia ya taarifa IT wamekuwa wakinyanyaswa kingono wakati wa kazi zao


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya habari 15 Disemba 2020 | SBS Swahili