Taarifa ya habari 22 Disemba 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Waziri wa Afya wa Victoria Martin Foley atangaza kuwa mpaka sasa wa jimbo hilo umefungwa rasmi. Aonya, kwa mtu yoyte anayejaribu kuingia Victoria kutoka NSW asifanye hivyo.


Australia Magharibi itafungua tena mpaka wake na Australia Kusini kuanzia saa sita usiku wa mkesha wa sikukuu ya Krismasi.

Watu wanne wameshtakiwa kwa kusababisha moto ambao ulienea sana kwenye Kisiwa cha Fraser.

Na Rwanda yaimarisha usalama Afrika ya Kati.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service