Waziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutangaza ahadi ya uchaguzi yenye thamani ya $20 milioni kwa kituo kipya cha kuondoa kiwewe cha wanawake na watoto.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinalenga kupata mkataba kufikia tarehe 2 mwezi Mei, utakaosaidia kurejesha tena uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili ulioyumba, kutokana na utovu wa usalama Mashariki mwa DRC.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.
Share






