Mwanamke mmoja huko Brisbane ashtakiwa kwa mauaji.
Na mtu mmoja achomwa kisu maeneo ya Newtown, hapa Sydney.
Katika habari za Kimataifa, nchini Uganda, Waziri akamatwa kwa mauaji,
Na janga la Corona laendelea kuitesa India.
Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili
SBS World News