Waziri Mkuu Anthony Albanese amesisitiza kuwa chama chake hakita chapisha maoni ya mwanasheria mkuu kwa kura ya maoni yakuweka sauti yawa Australia wa asili katika katiba.
Mamlaka Magharibi Australia wametoa tahadhari ya bluu ya kimbunga kwa kanda la Kaskazini Kimberley.
Marekani kutoa msaada kukabilina na ugaidi Afrika Magharibi, watu 27 wafa baada ya mashua kuzama katika pwani ya Tunisia na Mamia wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake wamejitokeza katika uwanja wa Taifa kushuhudia mashindano makubwa ya usomaji Qur’an.