Taarifa ya Habari 9 Julai 2023

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Waziri wa Elimu wa shirikisho Jason Clare amesema itabidi waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, aishi na madhara ya mfumo wa robodebt katika dhamira yake.


Hata hivyo Bw Morrison ametupilia mbali mapendekezo ya makosa au kuwa alipotosha baraza la mawaziri, akisema kuwa matokeo ya ripoti hiyo yalitokana na kutoelewa kwa kimsingi jinsi serikali inavyo fanya kazi.

Mbunge wa chama cha Greens Max Chandler-Mather, amesema hatua zaidi zinatakiwa kukabiliana na dhiki yakukodisha.

Upinzani nchini Zimbabwe umekwenda mahakamani kulalamikia ukandamizaji wa serikali. Balozi Ali Karume apokonywa uanachama wa CCM, na shirika la Human Rights Watch laitaka Tunisia kuacha kuwafurusha wahamiaji wa Kiafrika.

Katika michezo Australia na Argentina za pata cha metema kuni katika mechi za kimataifa za raga, na mbichi na mbivu za bainika katika ligi za NRL, AFL na wiki ya pili ya michuano ya Wimbledon yaanza.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya Habari 9 Julai 2023 | SBS Swahili