Taarifa ya Habari:Greens wataka makampuni ya mawasiliano nchini kutoa huduma yakuaminika kwa wateja

Australian Greens Senator Sarah Hanson-Young
Australian Greens Senator Sarah Hanson-Young Source: SBS

Chama cha Greens kinatoa wito wa mageuzi ambayo kisheria yatahitaji kampuni zama wasiliano kama Telstra, Optus na Vodafone kutoa huduma ya kuaminika kwa wateja.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Chama cha Greens kinatoa wito wa mageuzi ambayo kisheria yatahitaji kampuni zama wasiliano kama Telstra, Optus na Vodafone kutoa huduma ya kuaminika kwa wateja.


Uchunguzi ulisikia kwamba Telstra haikuchukua hatua kwa maonyo ya mara kwa mara ili kurekebisha tatizo hilo na seva ya Itifaki ya Muda wa Mtandao. Seneta wa Greens Sarah Hanson-Young anasema watoa huduma wanahitaji kuwajibika kwa kupotea kwa huduma kwa siku zijazo.

Kenya ilifunga jana kwa muda tovuti ya urais wa nchi hiyo, baada ya kile vyombo vya habari vya nchini humo kuripoti kuwa kulikuwa na shambulio la mtandao lililoambatana na madai ya fidia. Kwa mujibu wa ripoti hizo, wadukuzi walibadilisha ukurasa wa mwanzo wa tovuti hiyo na kuweka ujumbe uliokuwa ukimkosoa Rais William Ruto.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now