Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.
Mahakama ya Ufaransa itamshtaki luteni kanali wa zamani wa jeshi la Rwanda Cyprien Kayumba kwa mashtaka ya kushiriki katika mauaji ya kimbari ya 1994. Mahakama ya Ufaransa itamshtaki luteni kanali wa zamani wa jeshi la Rwanda Cyprien Kayumba kwa mashtaka ya kushiriki katika mauaji ya kimbari kwa madai ya kuwasilisha silaha zilizotumika wakati wa mauaji ya mwaka 1994.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





