Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari:Wanaume wawili wafunguliwa mashtaka baada ya Polisi kunasa tani 2.7 za kokeni nchini Australia

Australia Cocaine

In this undated photo provided by the Australian Federal Police, a quantity of cocaine is bagged and displayed in Sydney. Credit: HOGP/Australian Federal Police via AP/AAP Image

Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.


Mihadarati hiyo, yenye thamani ya takriban dola milioni 816, ilipatikana katika beseni za plastiki zilizozikwa katika mahandaki ya chini ya ardhi chini ya makontena ya meli magharibi mwa Sydney. Mihadarati hiyo, yenye thamani ya takriban dola milioni 816, ilipatikana katika beseni za plastiki zilizozikwa katika mahandaki ya chini ya ardhi chini ya makontena ya meli magharibi mwa Sydney.

Rais William Ruto ameonya dhidi ya aina yoyote ya machafuko, uharibifu wa mali, au kutatiza huduma muhimu kabla ya maadhimisho ya wiki ijayo ya maandamano ya kupinga serikali ya Juni 25. Alisisitiza kwamba ingawa serikali italinda haki ya kuandamana, uhuru huu haupaswi kudhoofisha utulivu wa kiuchumi na kijamii wa nchi.

Uruguay na Cape Verde zimetoka sare ya mabao mawili katika mechi yao ya makundi. Uruguay iliongoza mara mbili, lakini Cape Verde ilipambana mara zote mbili ili kupata pointi hiyo muhimu. Matokeo hayo yanaacha Kundi H wazi kuelekea raundi ya mwisho ya mechi. Misri ime pata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya New zealand katika kundi G, ushindi huo umefanya Misri wawe vinara wakundi lao kuelekea mechi yao ya mwisho dhidi ya Iran.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now