Watanzania nchini Australia wajipata njia panda juu ya uraia pacha

Edda Magembe afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Japan, azungumza na SBS Swahili kuhusu ziara yake nchini Australia

Edda Magembe afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Japan, azungumza na SBS Swahili kuhusu huduma anayo toa kwa wanajumuiya nchini Australia. Source: SBS Swahili

SBS Swahili ilizungumza na Edda Magembe kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Japan, Bi Edda Magembe ambaye yuko nchini Australia kuwahudumia wanajumuiya kupata vibali vya kusafiria.


Tanzania ni moja ya nchi ambazo haziruhusu uraia pacha, je hatma ya watanzania waliochukua uraia wa Australia ni ipi katika swala hilo?


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Watanzania nchini Australia wajipata njia panda juu ya uraia pacha | SBS Swahili