Mwenyekiti wa jamii yawatu kutoka DR Congo wanao ishi jimboni New South Wales, Bw Theophile Elongo alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, jinsi viongozi wajamii na viongozi wakisiasa wanavyo shughulikia swala hilo.
Theophile:"Siamini matatizo yanayo endelea Congo yatafika hapa Australia"

Theophile Elongo mwanzilishi wa shirika la ASSIDA, lenye makao makuu jimboni New South Wales, Australia. Source: Theophile Elongo
Migogoro yakikabila inayo endelea katika jimbo la Kusini Kivu, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ina endelea kuzua wasiwasi katika jamii kadhaa nchini Australia.
Share