Serikali ya shirikisho imetangaza makundi matatu mapya kwa viza, kwa ajili yaku tosheleza mahitaji tofauti ya vikundi vya wahamiaji nchini Australia.
Waziri wa uhamiaji David Coleman amesema viza hizo mpya, zitajibu mapengo ambayo wahamiaji wamekuwa wakifanyia kampeni yajazwe.
Waziri Coleman ameongezea kuwa makubaliano ya kazi yata zingatiwa tu, itakapo thibitishwa kuwa wa Australia hawawezi ziba pengo za ujuzi wakazi.
Share






