Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu"

Kundi la Mulembe katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.jpg

Wanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.


Bw Tim ni mwakilishi wa kundi hilo, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili ali tueleza kuhusu maandalizi ya kundi lake ambalo, lili alikwa kuonesha miziki na tamaduni ya jumuiya ya Mulembe kwa wakaaji wa Melbourne, Victoria.

Bw Tim aliweka wazi pia umuhimu wa kundi lake kuwajumuisha watoto, katika maonesho wanayo fanya.

Kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Mulembe na jinsi waku wasiliana au kuona baadhi ya kazi zao tembelea: www.kcv.org.au

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu" | SBS Swahili