Kama ilivyo desturi serikali iligawa hela katika sekta mbali mbali, na sekta ya huduma ya malezi ya watoto nayo ilipokea mfuko wa uwekezaji wa dola bilioni 1.7 kwa muda wa miaka mitano.
Je wazazi wanao tumia huduma hizo wana maoni yapi kuhusu kiwango cha uwekezaji, ambacho sekta hiyo imepokea? Je wameridhika au la? Bw Tim ni mtaalam wamaswala ya uchumi napia familia yake hutumia huduma hizo, alichangia maoni yake na Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu uwekezaji wa serikali ya shirikisho kwa sekta ya huduma ya malezi ya watoto.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.