Miji ya kandani na vijijini, yapata msaada kuwavutia wahamiaji

kijiji cha Rupanyup, jimboni Victoria

baadhi ya maduka katika kijiji cha Rupanyup, jimboni Victoria Source: Google

Kifaa kipya kime undwa kwa ajili yakusaidia kuwavutia wafanyakazi ambao ni wahamiaji katika maeneo ya kikanda na vijiji.


Kifaa hicho ambacho kimetengezwa na taasisi ya kikanda ya Australia kwa ufupi RAI, kina lengo lakusaidia miji ya kandani kujaza penga za ujuzi nakufanya iwe rahisi kwa wahamiaji kuishi kandani.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service