Kuwafundisha wafungwa kusikiliza maswala ya kujiua kati yao

Lifeline’s Eve Barratt Source: SBS
Kujiua ni sababu moja wapo ya moja kati ya vifo vinne katika magereza ya Australia. Lakini mpango mmoja uliowekwa ili kupunguza takwimu hiyo una matokeo fulani ya kuridhisha. Unawaunganisha na wafungwa wapya na wafungwa waliofundishwa kutoa mwongozo na msaada.
Share