Bw Turnbull alitumia kisa cha kushindwa kwa mara 30 mtawalio katika kura za maoni za Newspoll, kumwondoa mtangulizi wake Tony Abbott madarakani mwaka wa 2015.
Turnbull akwepa maswali kuhusu chama cha mseto, baada yakupoteza kura ya maoni ya 30 ya Newspoll

Prime minister Malcolm Turnbull Source: AAP
Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amesisitiza kuwa bado ana ungwa mkono na chama chake baada yakushindwa kwa mara ya 30 mtawalio katika kura ya maoni ya Newspoll, ambayo ili baini kuwa umma unapendelea chama cha Labor katika uongozi.
Share