Bw Turnbull ame hamasisha chama tawala ichukue hatua dhidi ya Bw Kelly, baada ya mbunge huyo kutishia kuhama chama hicho nakuwa mbunge huru, hata hivyo viongozi wa chama hicho wa NSW, wame mpendekeza kama mgombea wa chama cha Liberal katika eneo bunge la Hughes.
Turnbull azua tumbo joto ndani ya serikali tena

Former Prime Minister Malcolm Turnbull has in a series of tweets expressed his views on the candidacy of Craig Kelly. Source: AAP
Hatua ya waziri mkuu wa zamani Malcolm Turnbull kuingilia kati hadharani, siasa za chama cha Liberal iwapo chama hicho kina stahili mlinda mbunge Craig Kelly, dhidi ya mchakato wa uchaguzi ndani ya chama.
Share