Ubaguzi katika sehemu za kazi ni nini, na unastahili fanya nini ukiwa mwathirika?

Mwanaume afanya kazi

Mwanaume afanya kazi Source: Pexels/Ron Lach

Kila miaka mbili, shirika la Diversity Council of Australia, huchapisha vielezo vya ujumuishaji kazini, ambayo ni utafiti unao mulika maswala ya ujumuishaji, unyanyasaji na ubaguzi katika nguvu kazi kote nchini Australia.


Kielezo kingine kitachapishwa Disemba mwaka huu.  Ila ubaguzi katika sehemu ya kazi ni nini haswa?

Kwa taarifa zaidi kuhusu msaada tembelea tovuti ya mwamuzi wa maswala ya kazi, anwani yake ni: https://www.fairwork.gov.au au wasiliana na shirika la Fair Work kwa simu kupitia namba hii: 13 13 94. Kama unahitaji msaada wa lugha, pigia simu huduma ya utafsiri na ukalimani (TIS) kwa namba hii 13 14 50.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service