Kampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Medicare imekuwa sehemu muhimu ya kampeni ya chama cha Labor wakati, upinzani wa Mseto umejaribu kutumia gadhabu ya wapiga kura viwango vya maisha yawa Australia viki endelea kudorora.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






