Uchaguzi wa shirikisho wa Australia kufanywa 3 Mei 2025

ELECTION25 GRAPHICS

A combination diptych created on Thursday, March 20, 2025 of Leader of the Opposition Peter Dutton and Prime Minister Anthony Albanese. Source: AAP / RICHARD WAINWRIGHT/AAPIMAGE

Tarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?


Ni sahihi, tarehe 3 Mei itakuwa tarehe ya uchaguzi mkuu. Ila wanasiasa wame kuwa wakifanya matangazo makubwa tangu mwaka jana. Je, hatua gani itafuata sasa?

Leo, Waziri Mkuu alimtembelea Gavana Mkuu na kumuomba avunje bunge la taifa.

Kama hauta kuwa nchini siku ya kupiga kura, unaweza piga kura kwa kutumia posta, kupiga kura mapema au kupiga kura katika ubalozi wa ng'ambo. Kama yote haya nikama yana kuchanganya, usiwe na wasi wasi.

SBS itakuletea kila kitu unacho stahili jua, kabla upige kura. Unaweza fuata makala ya 'SBS Our House' kokote unako pata makala yako yaliyo rekodiwa.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service