Vizuizi vya kitamaduni na kibinafsi mara nyingi vime kuwa na maana kwamba, wanawake wanachelewesha kufanya uchunguzi wa saratani ya kizazi. Ila sasa, kwa msaada wa kipimo kinacho ongoza duniani, Australia ina lenga kutokomeza saratani ya kizazi kufikia mwaka wa 2035.
Katika makala ya leo, utasikia jinsi kipimo hicho ni salama, na kitamaduni ni chaguo nyeti kwa wanawake kutoka mazingira yote. Muhimu zaidi, kipimo hicho kinaweza okoa maisha yako.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.