Ujumuishi na utofauti washerehekewa kupitia mradi wa ajira, katika michuano ya wazi ya Australia

Mhamiaji kutoka Ufaransa Rebecca Desiree, anafanyakazi katika michuano ya wazi ya tennis ya Australia Source: SBS News
Kusimamia michuano ya wazi ya tennis ya Astralia wakati wa janga, itakuwa mafanikio makubwa kwa waandalizi wa michuano hiyo.
Share