Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali

Msanii atoa burudani katika tamasha ya Muziki na Tamaduni yawa Afrika, Federation Square, Melbourne, Victoria

Credit: Cameron James Cope

Kupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.


Kwa kawaida, huwa tuna unda mitandao ya misaada na watu kutoka tamaduni sawia na zetu.



Lakini fikiria kuchukua maamuzi yaku panua kundi lako lakijamii. Urafiki na watu kutoka tamaduni tofauti utaboresha mtazamo wako pamoja nakuongeza hisia yako yakuwa sehemu ya kundi hilo.

Je, marafiki wako wanatoka katika tamaduni yako?

Uzoefu wa uhamiaji unaweza kuwa na upweke kwa hiyo, ni kawaida kuegamia kwa watu unao fahamiana nao kwa msaada na urafiki.

Hata hivyo, kuondoka nje ya tamaduni yako kunaweza fungua macho yako kwa aina tofauti ya mitazamo, pamoja na kuimarisha hisia zetu za huruma.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service