Zaidi ya lugha 100 za Mataifa ya Kwanza kwa sasa zina zungumwa kote nchini Australia. Baadhi zina zungumzwa na watu wachache, na nyingi ziko hatarini kwa kupotea daima. Ila, nyingi zina fufuliwa.
Katika makala ya leo ya Australia ya Fafanuliwa, tuna chunguza utofauti na ufufuo wa lugha za Kwanza za Australia.
Lugha ni maalum kwa sehemu na watu, imesemwa kuwa ardhi ili zaa lugha.