Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Victor "tuna mipango maalum kwa vijana wa Kitwek"

Dkt Mchungaji Kimeto ahudhuria sherehe ya jamii ya Kitwek ya Perth, Magharibi Australia.jpg

Dkt Mchungaji Kimeto ahudhuria sherehe ya jamii ya Kitwek ya Perth, Magharibi Australia

Ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi kuanzisha shirika, linalo wawakilisha nakutoa huduma wanazo hitaji nje ya huduma zinazo tolewa na mashirika makubwa.


Mjini Perth, Magharibi Australia shirika la Kitwek limekuwa kituo cha kwanza ambako wanachama wa jamii hiyo, hubisha kupata huduma waanazo hitaji.

Jumapili iliyopita viongozi wanachama walijumuika katika hafla maalum, iliyo hudhuriwa na mgeni mheshimiwa Dr Mchungaji Kimeto.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Katibu Mkuu wa Kitwek Bw Vincent alifunguka kuhusu yaliyo jiri katika hafla hiyo. Kwa taarifa zaidi kuhusu Kitwek na huduma wanazo toa, bonyeza hapo chini.

www.kitwekassociation.org


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now