SKIP TO MAIN CONTENT

Yaliyojiri Afrika:7 wafariki katika ajali ya helikopta Kenya

Afrika kwenye ramani ya dunia.png

Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe, katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.

Published

By Jason Nyakundi

Presented by Jason Nyakundi, Gode Migerano

Source: SBS

Skip to podcast episode content

Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe, katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.

Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya, KCAA, imesema ajali hiyo ilitokea saa 3:13 asubuhi Jumatano. Helikopta hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Hifadhi ya Loisaba kuelekea eneo la Ewaso Nyiro.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now