Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na baadhi ya viongozi wakidini katika jamii yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia katika tathmini ya mwaka mmoja baada ya kutangazwa kwa mlipuko wa COVID-19 nchini Australia na kote duniani.
Bi Nancy Kamau Birgen na Mchungaji Ngugi Ngotho, waliweka wazi uzoefu wao pamoja na waliyo jifunza kupitia vizuizi vya Coronavirus, pamoja na hatua ambazo wamechukua kukabiliana na changamoto za siku za usoni zitakazo sababishwa na janga hili.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.