Vitu ambavyo unaweza au hauwezi leta Australia

Aina ya kirusi cha Omicron cha UVIKO-19 kime wasili Australia baada ya kesi mbili kuthibitishwa katika wasafiri wawili kutoka ng'ambo.

Wasafiri wawasili katika uwanja wakimataifa wa ndege wa Sydney wakivaa barakoa. Source: AAP

Wakati mipaka yakimataifa inafunguliwa kwa ajili ya usafiri kuanza tena, ni mhimu kuwatayarisha mafariki na famila watakao kutembelea kutoka ng’ambo, kwa ukaguzi mkali wa mipaka ya Australia.


Sheria za usalama za Australia zina piga marufuku baadhi ya bidhaa ambazo zinaweza onekana kama hazina hatari kuingizwa nchini ila, bidhaa hiza zinaweza kuwa na madhara mabaya kwa mazingira yetu pamoja na kilimo.

Uki kamatwa unajaribu kuleta bidhaa hizo nchini bila kusema unazo, watu wanaweza pewa faini nzito na hata viza zao zinaweza futwa. Kwa taarifa ya ziada kuhusu aina ya bidhaa ambazo unaweza leta Australia, tembelea Tovuti ya Idara ya Kilimo, Maji na Mazingira.

Na kama unapanga kuleta pombe, sigara, vifaa vyaki elektroniki pamoja na vitu vingine vya thamani kama vito, tazama tovuti ya Idara ya Maswala ya Nyumbani ya Australia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Vitu ambavyo unaweza au hauwezi leta Australia | SBS Swahili