VIVA: Kununua biashara wakati wa COVID-19

Mtaa wa biashara wasalia mtupu wakati wa vizuizi vya COVID-19

Mtaa wa biashara wasalia mtupu wakati wa vizuizi vya COVID-19 Source: AAP

Janga hili limesababisha tetemeko katika biashara ambazo kawaida huwa zina nawiri katika nyakati zakawaida.


Ila hali ya uharibifu wa milipuko ya virusi imeacha baadhi yawamiliki katika hali ngumu, na wengi wao wana nia yakujiondolea mizigo yao.

Je huu niwakati mzuri wakununua bishara? kulingana na baadhi ya watu, ukiwa na mikakati sahihi pamoja nakuweka mipango tayari, unaweza pata bei nafuu.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu jinsi yakuanzisha biashara, wasiliana na msimamizi wa biashara ya familia na biashara ndogo ya Australia kwenye namba hii 1300 650 460, kuanzia mida ya mbili asubuhi hadi saa mbili usiku kitaifa, kila jumatatu hadi ijumaa.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service