Visa ya jamaa wa yatima (subclass 117) ni moja ya chaguzi kadhaa za viza kwa wahamiaji ambao wangependa ingia Australia.
Makala haya ya mwongozo wa makazi, yana chunguza anaye stahiki kuomba viza ya jamaa wa yatima (subclass 117).
Kwa taarifa zaidi kuhusu viza za Australia, tembelea Idara ya maswala ya Nyumbani kwenye tovuti hii www.homeaffairs.gov.au
Share






