Licha ya ongezeko ya miito ya Bw Mbowe aachiwe huru, bado kiongozi huyo wa Chadema, yuko mikononi mwa polisi tangu wiki iliyopita.
Vyama vya upinzani vyalalamikia kufungwa kwa kiongozi Tanzania

Freeman Mbowe kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA Tanzania, akiwa na baadhi ya wanachama Source: CHADEMA
Kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe tangu wiki iliyo pita, kume zua sintofahamu nchini humo.
Share