Mradi huo unajumuisha ujenzi wa kambi sawia na zile ambazo wakimbizi huishi ndani, kwa lengo lakuipa jamii pana ambayo haina historia ya ukimbizi kuhusu changamoto ambazo wame pitia.
Bi Saada alieleza idhaa ya Kiswahili ya SBS, umuhimu wa mradi huo na manufaa yake kwa jamii pana.