Waumini mwaka huu, wanatazamia kurejea kwa baadhi ya hali ya kawaida baada ya janga kusababisha uharibifu mwaka jana ila, wengine bado wanashindwa kukabiliana na shinikizo lakiuchumi.
Wa Australia wakaribisha tena tamaduni za Ramadan, zilizo simamishwa na vizuizi mwakajana

Bango la salamu za Ramadan Source: iStockphoto
Zaidi ya nusu ya milioni yawa Islamu wa Australia, wana adhimisha siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadan ambao ume anza hii leo jumanne 13 Aprili 2021.
Share