Waafrika na Wayahudi waimarisha uhusiano jimboni New South Wales

Baadhi ya viongozi wajamii yawaafrika na wayahudi katika mkutano maalum

Baadhi ya viongozi wajamii yawaafrika na wayahudi katika mkutano maalum Source: SBS Swahili

Mashirika ya African Australian Advocacy Centre na NSW Jewish Board of Deputies, yali andaa mkutano maalum ambako wanachama wa jamii hizo wali jadili maswala mengi.


Mkutano huo ulikuwa fursa wa jamii zote mbili, kujadili baadhi ya uzoefu ambao jamii hizo zinachangia iwapo ni ubaguzi wa rangi, ukosefu wa fursa na kadhalika.

Baadhi ya wadau walio hudhuria mkutano huo wali changia maoni yao na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu waliyo jadili nakujifunza kutoka washiriki wenzao.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Waafrika na Wayahudi waimarisha uhusiano jimboni New South Wales | SBS Swahili