Wafanyakazi wako tayari kuwasili Australia kujaza mapengo ya ajira

Home Affairs Minister Clare O’Neil.jpg

Home Affairs Minister Clare O’Neil.

Serikali ya shirikisho imesema ita harakisha ujio wa wafanyakazi kutoka visiwa vya Pasifiki nchini Australia, kwa ajili yaku shughulikia uhaba mkubwa wa wafanyakazi katika sekta ya kilimo.


Ni sehemu ya mipango ya chama cha Labor kufanyia mageuzi mradi wa uhamiaji ambao, utahusu pia wanafunzi wakimataifa wakipewa haki yakubaki nchini nakufanya kazi baada yakuhitimu.

Waziri wa Kilimo Murray Watt, alieleza shirika la habari la Sky kwamba, kuharakisho mchakato wakuwasili kwao ni kipaumbele.

Hakuna shaka wiki ijayo, inatarajiwa kuwa ngumu katika eneo la Capital Hill.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service