Wagombea watatu katika uchaguzi wa halmashauri jimboni Victoria, wanajaribu kutengeza historia kwakuwa madiwani wakwanza jimboni humo walio zaliwa barani Afrika.
Wakitetea uwakilishaji bora, wagombea hao wanatumai kutengeza njia mpya, wa jamii zawachache zawa Afrika.
Ila kwa watu wanao taka kuwaona waafrika wengi zaidi wakiwakilishwa katika uongozi wa halmashauri za jiji, kampeni zinaendelea kwa kina na watumaini yame anza kwa kura kupigwa tarehe 24 Oktoba, ambapo inatarajiwa enzi mpya ya utofauti ita anza.
Share






