Wengi wao walituma ujumbe moja kwa moja kwa shirika la fedha ulimwenguni (IMF) kupitia mtandao wa Twitter, wakitaka shirika hilo lisitishe mikopo ambayo lina toa kwa serikali ya Kenya. Mkurugenzi wa kitengo cha maswala ya Afrika katika shirika hilo Abebe Selassie, alijibu malalamishi yawakenya hao.
Wakenya walazimisha shirika la fedha ulimwenguni (IMF) kujitetea

Mkenya na bango lake katika maandamano dhidi ya ongezeko yamadeni Source: Getty Images
Maelfu yawakenya walijumuika mitandaoni kuonesha ghadhabu yao kwa ongezeko ya madeni, na gharama kubwa ya maisha nchini mwao.
Share