Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono"

Bw Levi na Eunice Kones ndani ya Studio ya SBS Swahili.jpg

Wangeci Kones alikuja Australia akiwa na matumaini yakutumia shahada yake ya masoko, katika kazi sawia na alivyo kuwa akifanya nchini Kenya.


Hata hivyo hali aliyopata nchini Australia ilikuwa tofauti na matarajio yake. Ilibidi abadili mtazamo wake kwa kazi alizotaka kwa muda, hadi alipo pata kazi iliyo endana na ujuzi na uzoefu wake.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono" | SBS Swahili