Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Wapatanishi wa EAC na SADC waongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa DRC

Uhuru Kenyatta and Olusegun Obasanjo

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.


Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Viongozi hao wame ongeza timu ya wapatanishi, kufuatia kikao chao cha Jumatatu ya wiki hii.

Katika kikao chao, mbali na wapatanishi wa awali, rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, waliwaongeza viongozi wengine katika timu ya upatanishi akiwemo rais wa zamani wa Afrika Kusini, Kgalema Motlante, rais wa zamani wa jamuhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba Panza.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now