Wiki hii mpango wakurejea salama shuleni kwa wanafunzi na walimu pamoja na pendekezo la waendesha magari ya kazi wachanga ndani ya viwanda, ilikuwa moja yamalengo makuu ya baraza lamawaziri wakitaifa, wakati Australia imefikia takwimu zingine za kesi za Uviko.
Licha ya wiki za uvumi kuwa viongozi wata afikiana mwelekeo wa uratibu, Scott Morrison alithibitisha baada ya mkutano wa baraza lamawaziri wakitaifa kuwa, mipango yakureja salama shuleni ita tangazwa na kila jimbo binafsi.
Inatarajiwa kuwa kila jimbo lita tekeleza majukumu yake kivyake.
Share






