Uongozi wa Somalilanda, uko tayari kuipa marekani haki za kuchimba madini nakuweka kambi zaki jeshi, kwa ajili yakutambuliwa kama nchi huru.
Mamlaka na wakaazi wa Somaliland, wanatumai kuwa mafanikio hayo yakihistoria, na kidiplomasia yata himiza nchi zingine kuhalalisha uwepo wao.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






