Wito watolewa kwa hatua ya ziada kuchukuliwa kushughulikia gharama ya janga yaki asili

Local businesses cleaning up after flooding in Taree, New South Wales, Saturday, May 24, 2025

Local businesses cleaning up after flooding in Taree, New South Wales, Saturday, May 24, 2025. (AAP Image/Adam Oswell) NO ARCHIVING Source: AAP / ADAM OSWELL/AAPIMAGE

Uchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $2.2 bilioni dollars.


Viongozi wa jamii, wachumi pamoja na watafiti wa mazingira, wanataka Australia ifanye mengi zaidi kushughulikia gharama hiyo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service