Wito watolewa kwa vipimo vya ziada vifanywe wakati kesi za COVID-19 zikipungua

Acting Premier John Barilaro (left), NSW Minister for Health Brad Hazzard (centre) and NSW Chief Medical Officer Dr Kerry Chant.

Acting Premier John Barilaro (left), NSW Minister for Health Brad Hazzard (centre) and NSW Chief Medical Officer Dr Kerry Chant. Source: AAP

Jimbo la New South Wales halijarekodi visa vipya vya coronavirus katika jamii ila, maambukizi mawili yalirekodiwa baada ya saa mbili za usiku wa jumapili.


Idadi hiyo itajumuishwa katika takwimu za jumma nne 5 Januari. Maafisa wa afya jimboni humo wame jpa changamoto, yaku fanya vipimo elfu hamsini kwa siku.

Utoaji wa chanjo hiyo umehojiwa na chama cha upinzani cha shirikisho ila, Bw Kelly ametetea muda ambao serikali imeweka, akisema ni muda wakihafidhina. Chanjo zinatarajiwa kufikishwa nchini Machi, hatakama bado hazija idhinishwa na mamlaka husika yamadawa.

Kwa misaada yakiafya iliyopo kwa sasa, kwa jibu la janga la COVID-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service