Idadi ya wafanyakazi ambao wako kwenye likizo yaongezeka katika maeneo ya kikanda, na serikali yataka ongeza idadi ya wafanyakazi hao

Wafanyakazi wa msimu, wavuna matunda shambani

Wafanyakazi wa msimu, wavuna matunda shambani Source: AAP

Idadi ya visa zinazo tolewa kwa wanao fanya kazi wakiwa katika likizo nchini Australia, imeongezeka kwa asilimia 20 katika mwaka uliopita.


Kwa sasa serikali ya shirikisho inatafuta maafikiano na nchi 13 zakubadilishana viza, kwa matumaini kuwa maafikiano hayo yanaweza wavutia wafanyakazi wengi.

Inatarajiwa kuwa mkataba huo wa biashara, utachukua wiki kadhaa kushughulikiwa.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service